Mataarifa

2/13/19 Mahubiri ya Kutafsiri - Tumeweza kupata mahubiri ya William Branham katika lugha za Kinyarwanda na Kiswahili. Chagua hapa kuzitazama. Kurasa huu una mahubiri katika lugha kadhaa. Mungu abarakishe waaminifu wake wanaofanya kazi ya kutafsiri!