a57b9e84761a9bf7de4afc6c38127cbd.jpg

Karibu

Hata hivyo, Mungu Mkuu haishi katika nyumba zilizojengwa na binadamu; kama nabii asemavyo: `Bwana asema: Mbingu ni kiti changu cha enzi na dunia ni kiti changu cha kuwekea miguu. 
Ni nyumba ya namna gani basi mnayoweza kunijengea, na ni mahali gani nitakapopumzika?

 - Matendo ya Mitume 7:48-50

Anwani letu ni:

4623 Southern Parkway,

Louisville, Kentucky 

40214

United States

Huduma yetu ya Jumamosi inaanza 4:00pm, na huduma ya Jumapili inaanza 10:30am. Zote zinafanyika ndani ya chumba kikuu. Kutafuta njia unafuata uchoraji chini ya haya maelezo. Tunapokea wageni wowote kwa amani.